Two Ethnic Languages of the Ma'a People : A Sociolinguistic Approach
-
- 安部 麻矢
- 日本学術振興会・京都大学大学院
書誌事項
- タイトル別名
-
- Lugha Mbili za Warn bugu : Maoni ya Kiisimu Jamii
この論文をさがす
説明
Katika makala hii ninalenga lugha mbili zinazoongewa na Wambugu wanaoishi Wilaya ya Lushoto katika milima ya Usambara ya nchi ya Tanzania. Mojawapo ya lugha hizo inaitwa Kimbugu cha ndani iliyo na miundo ya upatanisho wa ngeli na viiambishi awali wa kibantu huku ikiwa na nduni nyingi ambazo zinaonekana kutoka lugha kadhaa zisizo za Kibantu. Lugha hiyo Inafikiriwa kuwa aina moja ya lugha za mchanganyiko na inalengwa kama kadhia isiyo na kifani katika masomo ya migusano ya lugha. Lugha nyingine inayoitwa Kimbugu cha kawaida inafikiriwa kwamba inafanana sana na Kipare kinachoongewa na Wapare wanaoishi katika milima ya Pare. Lakini hakuna data za kina. Katika makala nyingine zilizoandika kuhusu lugha hizi zinatolewa taarifa kwamba lugha hizi zote ni lugha za Wambugu wenyewe na zinarithiwa kama lugha ya kwanza. Hata hivyo, hali ya matumizi ya lugha ambazo Wambugu wanaongea hazielezwi kwa kina hata mara moja. Kutoka uhakiki wa usuli wa uchaguzi wa Kimbugu cha ndani na cha kawaida kama huo, katika makala hii ninachanganua matumizi ya lugha ya Wambugu pamoja na matokeo ya utafiti niliofanya katika Wilaya ya Lushoto na ninahitimisha kwamba Kimbugu cha ndani na cha kawaida zinarithiwa kama lugha ya kwanza na makundi mawili tofauti, sio na kundi moja.
収録刊行物
-
- 京都大学言語学研究
-
京都大学言語学研究 21 25-49, 2002-12-25
京都大学大学院文学研究科言語学研究室
- Tweet
キーワード
詳細情報 詳細情報について
-
- CRID
- 1390290699746606720
-
- NII論文ID
- 120001712125
-
- NII書誌ID
- AA11576115
-
- DOI
- 10.14989/87822
-
- HANDLE
- 2433/87822
-
- NDL書誌ID
- 7174693
-
- ISSN
- 13497804
-
- 本文言語コード
- en
-
- 資料種別
- departmental bulletin paper
-
- データソース種別
-
- JaLC
- IRDB
- NDLサーチ
- CiNii Articles
-
- 抄録ライセンスフラグ
- 使用可